

Lugha Nyingine
深圳“一带一路”国际音乐季:中西融合展现丝路风情
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 28 Julai 2025 ikionyesha kusimikwa kwa boriti la mwisho la muundo wa boksi kwenye eneo la ujenzi wa daraja kubwa katika Reli ya Mwendokasi ya Xi'an-Ankang, Mkoani Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China. (Xinhua/Li Yibo) |
Kazi zote za uwekaji boriti la muundo wa boksi kwa ajili ya madaraja kwenye ya Reli ya Mwendokasi ya Xi'an-Ankang katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China zimekamilika kufikia jana Jumatatu, ikiweka msingi imara wa ujenzi ulioendelea. Njia hiyo ya reli ina urefu wa kilomita 171 ikiwa imeundwa kupitisha treni kwa kasi ya kilomita 350 kwa saa. Wakati itakapoanza kufanya kazi, itarahisisha kwa kiasi kikubwa usafiri kwa wakazi kando ya njia hiyo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma