

Lugha Nyingine
用车|太原搭建交流平台 助新能源汽车产业发展
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2025
![]() |
Gari la muundo wa awali la Mercedes-Benz Vision V likionekana kwenye Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Aprili 23, 2025. (Xinhua/Fang Zhe) |
Yakiwa na kaulimbiu ya "Kukumbatia Uvumbuzi, Kuwezesha Siku za Baadaye", Maonyesho ya 21 ya Kimataifa ya Viwanda vya Magari ya Shanghai, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Maonyesho ya Magari ya Shanghai 2025, yameanza mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Jumatano, yakivutia kampuni za magari zinazojulikana karibu 1,000 kutoka nchi na maeneo 26.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma